Rapa wa muziki wa Bongo Fleva @wakazi kwenye shindano la Unitalent alikuwa mmoja ya majaji.
Baada ya shindano kumalizika wana habari walimuuliza baadhi ya vitu ikiwemo kwanini ana ugomvi na staa (rapa) mwenzake @roma_zimbabwe
@wakazi akasimulia chanzo cha ugomvi wao kutoka mwanzo kabisa.
@wakazi ameenda mbali zaidi akisema @roma_zimbabwe huwa hakumbuki fadhila maana yeye ndio alikuwa mstari wa mbele kupiga kelele wakati ametekwa.