Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Wakazi aikataa ngoma ya Roma, hana maajabu Cover ya wimbo haiendani

Rapa wa muziki wa Bongo Fleva @wakazi kwenye shindano la Unitalent alikuwa mmoja ya majaji.

Baada ya shindano kumalizika wana habari walimuuliza baadhi ya vitu ikiwemo kwanini ana ugomvi na staa (rapa) mwenzake @roma_zimbabwe

@wakazi akasimulia chanzo cha ugomvi wao kutoka mwanzo kabisa.

@wakazi ameenda mbali zaidi akisema @roma_zimbabwe huwa hakumbuki fadhila maana yeye ndio alikuwa mstari wa mbele kupiga kelele wakati ametekwa.

Wakazi anaeleza kuwa ngoma ya @roma_zimbabwe NIPENI MAUA YANGU ni moja ya ngoma mbovu kutoka kwa @roma_zimbabwe

@wakazi ameanza na cover ya wimbo halafu picha ya jeneza badala ya kuweka maua kwahiyo haiendani na maudhui.

Pia Verse kuna sehem haiendani na wimbo.

Wewe una maoni gani kuhusu hiki,???

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents