HabariMichezo

Azam watinga fainali ya FA, waifunga Simba 2-1

Azam wameonesha umwamba mbele ya Mnyama na kuondoka na ushindi wa goli 2-1.

Magoli yakifungwa
Lusajo Mwaikenda ⚽️
Prince Dube ⚽️
Sadio Kanoute ⚽️

Kilichowahukumu #SimbaSC ni kukosa mbadala wa wachezaji kutoka kwenye Benchi lao, wengine majeruhi na wapo ambao hawana Quality. Kikosi cha Simba ni kile kile hata.

@azamfcofficial sasa watasubiri mshindi kati ya Yanga na Singida Big Star kwenye mchezo wao wa nusu fainali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents