Burudani

Walioanzia uchumba kwenye mtandao wa Twitter wafanikiwa kufunga ndoa (+picha)

Mwanaume mmoja kutoka mjini Phoenix, Arizona nchini Marekani ameweka wazi historia ya mke wake baada ya kuueleza umma kuwa mke wake aliyefunga nae ndoa wiki moja iliyopita alimpata kupitia mtandao wa Twitter baada ya kusota kwa muda mrefu kumfuatilia.

Mwanaume huyo anayetumia jina la (@shondonechanged) amesema kuwa alikuwa haamini katika maisha yake kuwa kuna mapenzi ya kweli hadi alipompata mwanamke huyo kwenye mtandao huo  wa Twitter.

Kupitia ukurasa wake (@shondonechanged) amesema walianza taratibu kuchati DM kwenye mtandao huo lakini hatimae wamefikia maamuzi ya kuoana.

Hata hivyo hatua hiyo imeonekana kuvutiwa na maelfu ya watu kwani baada ya Kutweet siku ya jumamosi tayari amepata zaidi ya Retweets na likes elfu 2, huku akipongezwa na watu zaidi ya 100.

https://twitter.com/ShonDoneChanged/status/926914025941696512

Bado haijajulikana ni lini wawili hao walianza mapenzi yao rasmi lakini kwa kufuatilia kwenye Timeline yake inaonesha walianza kuwasiliana mwezi wa May mwaka huu.Tazama baadhi ya picha wakiwa Honey Mooney baada ya kufunga ndoa wikiendi iliyopita.

https://twitter.com/ShonDoneChanged/status/927295669915721729

https://twitter.com/ShonDoneChanged/status/927202295036518400

https://twitter.com/ShonDoneChanged/status/927179760190369792

https://twitter.com/ShonDoneChanged/status/926839557827338240

https://twitter.com/ShonDoneChanged/status/926465524887719936

https://twitter.com/ShonDoneChanged/status/926401833962160128

https://twitter.com/ShonDoneChanged/status/926402553767591936

Je, kwa Afrika unaweza ukaoa au kuolewa na mwanaume uliyempata mtandaoni?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents