Burudani

Wapo wanaotumia ndumba kwenye muziki lakini mimi… – Matonya

Msanii mkongwe wa muziki, Matonya amedai yeye haamini wala hatumii ndumba katika muziki wake.
matonya

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Sugua Benchi’ amedai wapo wasanii ambao wanatumia uchawi kwenye muziki.

“Wapo ambao wanaamini wakitumia panado wanapona kichwa, wapo wanaoamini wakitumia maji wanapona kichwa kalini pia wapo wanaoamini miti shamba,” alisema Matonya. “Kwa hiyo kwenye muziki wapo wanaotumia ndumba kufanikisha mambo yao lakini mimi sipo, mimi natumia uwezo wangu,”

Muimbaji huyo ambaye pia ni mkurugenzi wa Kundi la Black Image, amewataka mashabiki wa muziki kuendelea kuusuport wimbo mpya wa kundi hilo uitwao ‘Mr Legeza Kidogo’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents