Wapo wasaidizi wangu wameshaugua, watoto wangu, wadogo zangu wameshaugua na wameshapona- Rais Magufuli (+Video)

”Hebu tutaje nchi gani ambayo watu hawajafa na corona, maelfu wanakufa, kuna nchi walipoteza watu 3000 kwa siku na wanavaa barakoa, sisi tuchukue tahadhari, wapo wasaidizi wangu wengine wameshaugua, mimi watoto wangu wameshaugua, wadogo zangu wameshaugua na wameshapona”.

Related Articles

Back to top button
Close