Mwaka jana tulipita salama, hata Marais wenzangu wakawa wananiambia nyinyi ni wachawi huko Tanzania – Rais Magufuli (+Video)

”Corona itakwisha, mwaka jana tulipita salama mpaka watu wakawa wanatushangaa, hata Marais wenzangu wakawa wananiambia nyinyi ni wachawi huko Tanzania nikasema Mchawi ni Mungu, tulipita wapo walioathirika kidogo lakini tulipita na sasa tutapita.”- Rais Magufuli

Related Articles

Back to top button
Close