Habari

Washauri wa Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Anga

Mnamo tarehe 06 Novemba 2022, Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA CCC) tulipokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya ajali iliyohusisha ndege ya abiria inayorilikiwa na Kampuni ya Precision Air yenye namba za usajili 51-PWF aina ya ATR42-500,iliyokuwa ikifanya safari zake kutoka Dares salaam kwenda Mwanza kwa kupitia Bukoba.

Ajali hiyo ilitokea kwa ndege hiyo kuan guka katika Ziwa Victoria, mita 500 karibu na Uwanja wa Ndege
wa Bukoba na kusababisha vifo wya abiria kumi na tisa (19) na majeruhi ishirini na nne (24).

Uchunguzi wa ajali hiyo bado unaendelea kufanywa na mamlaka zinazohusika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents