Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Watu wangu wa karibu wananiambia Uislam unanipendeza zaidi – Whozu

Moshi nikienda wakiulizia mambo ya dini namwaga pesa tu hakuna la ziada. Nikiwa kwenye mavazi haya wewe ulizia pesa tu.

Kauli ya @whozu_ baada ya kuulizwa nyumbani Moshi watapokeaje endapo atabadili dini??

@whozu_ ameweka wazi kuwa bado hajabadili dini ila watu wanaomzunguka wanamwambia anapendezea Uislam.

@el_mando_tz kuhusu jina lake jipya alilopewa na @billnass la WALID.

Pia ameongeza kuwa namna ya kuomba dua huwa anamsikia @wemasepetu anavyoomba na namna alivyoseali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents