HabariSiasa

Waziri Nape atoa ruhusa Vyombo vya Habari kuendeleza ubunifu kusoma Magazeti

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @nape_nnauye ameandika kuwa:-

Nimeona mjadala wa “kusoma magazeti” nimeelekeza TCRA kuruhusu UBUNIFU kwenye tasnia ya Habari, staili ya usomaji wa magazeti imeongeza MVUTO kwenye usomaji huo, ni jambo linapaswa KUTIWA MOYO badala ya kuzuiwa, Waandishi endeleeni na ubunifu kwenye kusoma magazeti”

Ameongeza kuwa “Maelekezo mengine yeyote ambayo TCRA inatoa kwenye sekta ya habari yanapaswa kuwa
WEZESHI na sio ZUIZI. Ni muhimu TCRA ijenge
utamaduni wa kuzungumza kabla ya kuagiza.”

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents