Habari

Waziri wa kilimo Hasunga ageuka mbogo kwa wakandarasi atoa siku 23 miradi ikamilike “Mna utani na sisi” – Video

Waziri wa kilimo Hasunga ageuka mbogo kwa wakandarasi atoa siku 23 miradi ikamilike "Mna utani na sisi - Video

Waziri wa Kilimo, Mhe Japheth Hasunga atoa siku 23 kwa wakandarasi wanaojenga skimu ya umwagiliaji Nanganga wilayani Ruangwa mkoani Lindi kuwa imekamilika.

baada ya kuchukua miaka miwili bila kukamilika na skimu hiyo ilitakiwa ikamilike ndani ya miezi nane tu.

Chanzo Eatv.Tv.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents