Burudani

Wizara ya utamaduni ya Kenya leo yazindua sera ya muziki ya Taifa

Wizara ya michezo, utamaduni na sanaa ya Kenya leo imezindua sera ya muziki ya taifa ambayo pia itawasilishwa kama muswada bungeni.

11311525_1465236097112585_2049844224_n

Uzinduzi huo umefanyika jijini Nairobi na kuhudhuriwa na wanamuziki na wadau wengine wa kiwanda hicho.

11417439_386030268262431_1569823609_n

Sera hiyo imekuja katika wakati ambao muziki wa Kenya umedaiwa kutopewa nafasi kwenye redio nyingi za huko ukilinganisha na zile za Marekani, Nigeria na Tanzania.

11348239_415850001945127_1089531976_n

“The music policy document is now ready to be presented to paliament to be effected as a bill…after 10 years we now have a music policy document,” ameandika Amani kwenye Instagram.

Naye Avril ameandika, “Happening now at the Laico Regency!!! And finally the National Music Policy. Couldn’t be more proud as an musician. #NationalMusicPolicy .. Will share tit bits to help you understand what this means to the music industry in Kenya. Big up to our CMOs, producers, performers, publisher, composer and author representatives and the Min. Of Sports and Culture for this.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents