Burudani

Wizkid awa msanii wa 1 Nigeria kuwa na followers milioni 1 kwenye Twitter

Wizkid amekuwa msanii wa kwanza nchini Nigeria kuwa na followers zaidi ya milioni moja. Staa huyo amefikisha idadi hiyo ya followers Feb, 19, 2014.

Wizkid-pic

Kwa mbali wanaomfuatia ni D’banj (816k), Don Jazzy (719k), 2face Idibia (686k), na muigizaji wa filamu Genevieve Nnaji (542k).

Pia Wizkid anaongoza kwenye Twitter kwakuwa na followers zaidi ya 150,000.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents