Michezo

Yaya na Kolo Toure wafiwa na kaka yao wakati wakiendelea na kombe la dunia

Ndugu, Yaya na Kolo Toure wamepewa taarifa za kifo cha kaka yao Toure Oyala Ibrahim wakati timu yao ya Ivory Coast ikiendelea na kombe la dunia nchini Brazil.
article-0-1EC70F5000000578-221_634x444
Kaka wa wachezaji hao wa Manchester City na Liverpool amefariki jana akiwa na umri wa miaka 28 jijini Manchester kwa saratani ikiwa ni saa mbili baada ya Ivory Coast kufungwa mabao 2-1 na Colombia.

Chama cha soka cha Ivory Coast kimetoa pole kwa Yaya na Kolo imewataka wananchi kuwakumbuka katika sala wakati huu mgumu kwao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents