Videos

69 Records Yaja Kivingine [Video]

Season ya pili ya tamthilia ya 69 Records imekamilika, kwa mujibu wa taarifa ambayo Bongo5 imeipata safari hii imehusisha baadhi ya mastaa wa nyimbo za Bongo Flava kama Linah, Queen Darlin mkali wa kucheza ngoma Mo Luv wa kituo cha sanaa THT. Kwa kweli wamejitahidi sana kutumia maeneo tofauti tofauti katika jiji la Dar hivyo kuongeza uzuri wa picha kwa mandhari zilizokwenda shule, na pia upande wa production kama inavyoonesha katika promo hapa chini
[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=fhcT13Sj7SE[/youtube]



Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents