DStv Inogilee!

Airtel na Engen ilivyodhamini wiki hii ya Nenda kwa Usalama

Kagera_aitel_face

Mbele ni Meneja wa kanda ya ziwa  wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Ally Maswanya akipokea cheti  maalum kwa airtel ushiriki na shukrani toka, kwa kamati na jeshi la usalama barabarani kwa Airtel kuwa mdhamini mkuu wa kampeni ya usalama


barabara  kutoka kwa mgeni Rasmi Mh Jaji mkuu Mohamed Chande katika halfa ya ufunguzi  wa wiki ya usalama barabarani iliyofanyika  kitafia katika mkoa wa Kagera wiki hii, wakwanza kulia pichani ni Mwenyekiti wa  Baraza la usalama barabarani na Naibu Waziri wa mambo ya ndani Mh Hashim Kagesheki.

Kagera_aitel

Mwenyekiti wa  Baraza la usalama barabarani na Naibu Waziri wa mambo ya ndani Mh Hashim Kagesheki akimshukuru Meneja wa kanda ya ziwa  wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Ally Maswanya kwa  kuwa mdhamini mkuu wa  kampeni ya usalama barabara kwa mwaka huu 2011, haya yalifanyika katika halfa ya ufunguzi  wa wiki ya usalama barabarani iliyofanyika katika mkoa  wa kagera wiki hii na kuudhuriwa na mgeni Rasmi Mh Jaji mkuu Mohamed Chande (kati) pamoja na Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabiani masawe (wakwanza kushoto). wadhani wakuu wa mwaka huu ni kampuni ya simu za mkononi ya Airtel na kampuni ya mafuta ENGEN Tanzania

Kagera_aitel_ngoma

Bendi ya kakao ya mkoani kagera ikitumbuiza  katika siku ya ufunguzi wa wiki ya usalama barabara iliyofanyika  kitafia katika mkoa wa kagera  jumatatu 3/10/2011 iliyodhaminiwa mwaka huu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel na ENGEN Tanzania

Kagera_aitel_pikipiki

Maandamando ya pikipiki yaliyofanyika katika siku ya ufunguzi wa wiki ya, usalama barabara iliyofanyika  kitafia katika mkoa wa kagera jumatatu
3/10/2011 iliyodhaminiwa mwaka huu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel na ENGEN Tanzania

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW