Promotion

Airtel yaja na ‘Nani Mkali’ promosheni, mamia kushinda fedha taslim…zaidi ya milioni 200 kuzawadiwa

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel inayotoa huduma nafuu na yenye wigo mpana zaidi wa mawasiliano, leo imezindua promosheni mpya itakayowawezesha wateja wake kujishindia mamilioni ya fedha taslimu ijulikanayo kama “Nani Mkali”.

Akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando alisema “ leo Airtel inawapa nafasi nyingine watanzania kushiriki na kushindafedha taslimu zaidi ya shilingi milioni 200,kwa washindi 110 watakaopatikana kila siku, kila wiki na kila mwezi.

Tunaendelea kuwajali na kuwazawadia wateja wetu nchi nzima kuhakikisha washindi wengi wanapatikana, kila siku kutakua na mshindi wa milioni moja,kila wiki milioni tatu na kila mwezi milioni thelathini(30).

Kuhusu jinsi ya kujiunga na “Nani Mkali”, afisa bidhaa wa Airtel bi Alice Paulsen alisema,”tunaendelea kuimarisha dhamira yetu ya kutoa huduma bora zenye viwango vya juu na kudhihirisha kauli mbiu yetu ya jisikie huru katika promosheni hii mteja anatakiwa kuandika neno “Mkali” na kutuma kwenye namba 15656 bure kabisa ili kujiunga. Baada ya hapo atatumiwa maswali na kila atakapo toa jibu sahihi atapata pointi 20 na jibu lisilo sahihi pointi 10.Kila ujumbe wenye jibu utatozwa shillingi 350 pamoja na kodi.

Promosheni hii pia itatoa fursa kwa wateja kuchagua lugha wanayotaka kwa kutuma neno “swa” kwa Kiswahili au “eng” kwa lugha ya kiingereza kwenda namba ……….. Kujua alama ulizonazo au point mteja wetu atatakia kutuma neno “point” au “alama” kupatiwa pointi alizojikusanyia.

Kujiondoa mteja atatakiwa kutuma neno “cancel’ au “stop” kujindoa kwenye promosheni.

Akitoa ufafanuzi zaidi Meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando aliongeza kwa kusema promosheni ya “Nani Mkali” inazinduliwa leo ikiwa bado promosheni yetu kubwa ya Mzuka wa Airtel inaendelea ambapo wateja wanajishindi simu,muda wa maongezi pamoja na pesa taslimu zaidi ya shilingi milioni 50.

<—————————————->

Airtel Tanzania Limited the most affordable with the widest coverage telecommunications service provider, today has unveiled yet another promotion to reward its loyal Customers to be known as “Naki Mkali”. Nani Mkali will run for the next three months
rewarding Airtel customers with cash prizes.

Speaking during the unveiling of the promotion, Public relations Manager Jackson Mmbando said “today Airtel is giving yet another opportunity to Tanzania to participate and win cash prizes worth more than 200million to over 110 winners’ every day, every week and every month.

We continue caring for our customers and rewarding them throughout the country to ensure more winners are recognized. Everyday there will be a one million winner, weekly winner of three million and month winner
of thirty million.

On mechanics of the Nani Mkali promotion, Airtel products officer Alice Paulsen said , “we continue emphasizing our commitment to provide quality , affordable and widely available services and live our slogan of “feel free” in this promotion our customers will enroll free of charge by sms a word “Mkali” to number 15656. After the enrollment customer will get questions, for every answer a customer will gain points, 20 points will be given for right answers and 10 points for wrong answers, each sms will be charged 350 Vat inclusive.

This promotion will enable customer to choose language of their choice by sms a word “ Swa” for Swahili and “eng” for English language to number 15595, to check accumulated points sms a word “point “ to cancel participate the customer will sms the word “cancel” or “stop” to number 15595.

Further to the Nani Mkali Launch Mmbando added, “Nani Mkali has been launched today still mzuka promotion is up and running were Airtel Customers get to win lots of prizes including handsets, Airtime and cash prizes worth 50 million

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents