Burudani ya Michezo Live

Audio: Simulizi ya kusimumua ya mjasiriamali kijana aliyeandikwa na jarida la Forbes, Patrick Ngowi

Baada ya kuandikwa kwenye jarida la Forbes kama mjasiriamali kijana mwenye umri chini ya miaka 30 barani Afrika, watu wengi walianza kulifahamu jina la Patrick Ngowi. Ndio sababu iliyotufanya sisi pia kumtafuta na kumwandika kwenye jarida letu la Mzuka kwenye Kona ya Mjasiriamali. Leo kupitia kampeni ya Twenzetu ya Clouds FM, Patrick Ngowi amezungumza safari yake iliyomwezesha leo kuwa na kampuni iliyopata faida ya zaidi ya shilingi bilioni 4 mwaka jana.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW