BASATA yaonya wasanii dhidi ya matapeli
Burudani

BASATA yaonya wasanii dhidi ya matapeli

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawataka wasanii wote kuwa makini na wakuzaji Sanaa (Mapromota) au baadhi ya wanaojiita wadau…
Producer Scott Storch amuwakia Lamar wa Fishcrub Instagram, ifahamu sababu
Burudani

Producer Scott Storch amuwakia Lamar wa Fishcrub Instagram, ifahamu sababu

Producer wa Marekani na anayefamika kwa kutengeneza hits za wasanii wengi wakiwemo 50 Cent, Chris Brown, Beyonce, Rick Ross na…
Watu bilioni 3.2 wanatumia internet duniani
Habari

Watu bilioni 3.2 wanatumia internet duniani

Namba ya watu duniani wanaotumia internet ilifikia bilioni 3.2 hadi mwishoni mwa mwaka 2015, lakini waliosalia, bilioni 4.1 bado hawajafikiwa…
Alikiba aeleza kwanini hakuweza kumuoa mwanamke yeyote kati ya watatu aliozaa nao
Burudani

Alikiba aeleza kwanini hakuweza kumuoa mwanamke yeyote kati ya watatu aliozaa nao

Alikiba ameitaja sababu iliyomfanya ashindwe kumuoa mwanamke yeyote kati ya watatu aliozaa nao. Hitmaker huyo wa Lupela alikiambia kipindi cha…
Mkwanja wa dili la Voda ni ‘fifty fifty’ kati ya Diamond na Zari?
Burudani

Mkwanja wa dili la Voda ni ‘fifty fifty’ kati ya Diamond na Zari?

Wiki kadhaa zilizopita, Diamond Platnumz alisaini mkataba wa mamilioni ya shilingi kuwa balozi wa kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania.…
Nandy: Mtanzania aliyeshinda milioni 36 kwenye shindano la Tecno Own The Stage (Video
Burudani

Nandy: Mtanzania aliyeshinda milioni 36 kwenye shindano la Tecno Own The Stage (Video

Shindano la kwanza la karaoke barani Afrika, Tecno Own The Stage lilimalizika Jumapili ya Feb 7 na ushindi kwenda Nigeria…
T.I. asaini mkataba na Roc Nation, aongezeka kwenye orodha ya wamiliki wa Tidal
Burudani

T.I. asaini mkataba na Roc Nation, aongezeka kwenye orodha ya wamiliki wa Tidal

Rapper T.I. amesaini mkataba wa usambazaji na label ya Jay Z, Roc Nation. Kwenye mkataba huo Roc Nation watasambaza album…
Mtoto wa Kim Kardashian Saint West ampa wazimu Wema Sepetu
Burudani

Mtoto wa Kim Kardashian Saint West ampa wazimu Wema Sepetu

Wema Sepetu anatamani, Saint West kichanga cha Kim Kardashian na Kanye West, angekuwa mtoto wake. Ina make sense hasa ukizingatia…
Davido akava jarida maarufu la burudani la Marekani, The Fader
Burudani

Davido akava jarida maarufu la burudani la Marekani, The Fader

Davido ameendelea kupaa kimataifa. Ikiwa ni mwezi mmoja tangu asaini mkataba na Sony Music, Davido amekava jarida la maarufu la…
Makampuni yajipanga mstari kutaka kumdhamini Pacquiao baada ya Nike kumtosa
Michezo

Makampuni yajipanga mstari kutaka kumdhamini Pacquiao baada ya Nike kumtosa

Mchezaji masumbwi wa Ufilipino, Manny Pacquiao anafanya mazungumzo na makampuni ya bidhaa za michezo baada ya Nike kusitisha mkataba naye…
Ja Rule kuachia album ya mwisho ‘Coup De Grâce’
Burudani

Ja Rule kuachia album ya mwisho ‘Coup De Grâce’

July mwaka 2014 Ja Rule alitangaza kuwa album yake ya nane itaitwa, Genius Loves Company. Lakini kupitia Twitter, rapper huyo…
Is it over? Wema afuta picha zote za Idris Instagram
Burudani

Is it over? Wema afuta picha zote za Idris Instagram

Looks like there is trouble in paradise.. Katika hatua ambayo wengi hawakuitarajia kama ingetokea mapema hivi, Wema Sepetu na Idris…
Alikiba ataja uwezekano wa kufanya kazi na Fergie wa The Black Eyed Peas
Burudani

Alikiba ataja uwezekano wa kufanya kazi na Fergie wa The Black Eyed Peas

Alikiba amedai kuwa upo uwezekano wa kuja kufanya kazi na msanii wa Marekani anayeunda pia kundi la The Black Eyed…
New Video: Rihanna f/ Drake – Work
Burudani

New Video: Rihanna f/ Drake – Work

Rihanna ameachia video ya wimbo wake Work aliomshirikisha Drake. Imeongozwa na Director X.
Kim Kardashian aonesha picha ya mwanae Saint West kwa mara ya kwanza
Burudani

Kim Kardashian aonesha picha ya mwanae Saint West kwa mara ya kwanza

Hatimaye Kim Kardashian ameonesha picha ya kwanza ya mwanae wa pili na Kanye West, Saint West. Kim ameamua kuonesha picha…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents