Rais Magufuli awaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni ‘Nendeni mkawatumikie wananchi hasa wanyonge’ (+Video)
Habari

Rais Magufuli awaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni ‘Nendeni mkawatumikie wananchi hasa wanyonge’ (+Video)

Rais Magufuli leo Jumapili Oktoba 20, 2019 amewaapisha viongozi hao ambao ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI…
Diamond, Rayvanny na Nandy washinda tuzo kubwa nchini Marekani
Habari

Diamond, Rayvanny na Nandy washinda tuzo kubwa nchini Marekani

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Diamond Platnumz usiku wa kuamkia leo Jumapili ameshinda tuzo ya African Entertainment…
UTEUZI: Rais Magufuli amtumbua DC Nachingwea na Mkurugenzi wake
Habari

UTEUZI: Rais Magufuli amtumbua DC Nachingwea na Mkurugenzi wake

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Rukia Muwango na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Bakari Mohammed uteuzi wao umetenguliwa jana…
KENYA: Uchu wa followers wa Instagram wakiponza kituo cha NRG Radio, Eliud Kipchoge atishia kuwaburuza mahakamani
Habari

KENYA: Uchu wa followers wa Instagram wakiponza kituo cha NRG Radio, Eliud Kipchoge atishia kuwaburuza mahakamani

Mwanariadha aliyejizolea umaarufu duniani kutoka nchini Kenya, Eliud Kipchoge amekitaka kituo cha Radio cha NRG cha nchini humo, Kuacha mara…
Nay wa Mitego aja na ‘Ipo Sawa’, Amchana Ben Pol, Aslay, Wema, Dudu Baya, Dogo Janja na Ommy Dimpoz (+Audio)
Habari

Nay wa Mitego aja na ‘Ipo Sawa’, Amchana Ben Pol, Aslay, Wema, Dudu Baya, Dogo Janja na Ommy Dimpoz (+Audio)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego ameachia audio ya ngoma yake mpya ya ‘Ipo Sawa’ aliyotengeneza katika…
BREXIT: Makubaliano mapya ya Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya ni ‘kaa la moto’
Habari

BREXIT: Makubaliano mapya ya Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya ni ‘kaa la moto’

Uingereza na Umoja wa Ulaya wameafikiana makubaliano mapya ya Brexit, Yatakayofungua njia kwa nchi hiyo kujitoa rasmi katika Umoja huo…
Ziara ya Rais Magufuli mkoani Lindi yaacha watu 51 mbaroni
Habari

Ziara ya Rais Magufuli mkoani Lindi yaacha watu 51 mbaroni

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Lindi, inawashikilia viongozi 51 wa vyama 10 vya msingi (Amcos), vinavyodaiwa…
RASMI: Mtangazaji wa EFM Maulid Kitenge ahamia Wasafi FM, Atoka na wenzake wawili na kumvuta Eddo Kumwembe (+Video)
Habari

RASMI: Mtangazaji wa EFM Maulid Kitenge ahamia Wasafi FM, Atoka na wenzake wawili na kumvuta Eddo Kumwembe (+Video)

Mtangazaji maarufu wa Habari za Michezo nchini Tanzania, Maulid Kitenge ametangaza rasmi kuwa ameachana na Kituo cha Redio cha EFM…
Mfanyabiashara aliyetajwa kuiibia Tanzania Tsh. Milioni 7 kila dakika, Aachiwa huru
Habari

Mfanyabiashara aliyetajwa kuiibia Tanzania Tsh. Milioni 7 kila dakika, Aachiwa huru

Mfanyabiashara maarufu nchini Mohamed Yusufali, Aliyekuwa akikabiliwa na kesi mbili za uhujumu uchumi na kukwepa kodi na kuisababishia Serikali hasara…
Muuguzi amchoma binti sindano ya usingizi na kisha kumbaka, Yaelezwa msichana alikuwa hospitalini akimuuguza mama yake
Picha

Muuguzi amchoma binti sindano ya usingizi na kisha kumbaka, Yaelezwa msichana alikuwa hospitalini akimuuguza mama yake

Imeelezwa kuwa muuguzi  mmoja wa Hospitali ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Anatuhumiwa kumbaka msichana wa miaka 16 (Jina linahifadhiwa),…
BASI la kanisa lakamatwa likisafirisha misokoto ya bangi Kenya
Habari

BASI la kanisa lakamatwa likisafirisha misokoto ya bangi Kenya

Basi la kanisa la Kipentekoste la PEFA limekamatwa mjini Voi nchini Kenya likisafirisha madawa ya kulevya aina ya bangi. Kwa…
BAKITA watoa kauli kuhusu ‘Upepo wa kisulisuli’ wa mchungaji Rwakatale
Habari

BAKITA watoa kauli kuhusu ‘Upepo wa kisulisuli’ wa mchungaji Rwakatale

Kwa siku mbili sasa kumekuwa na video za mchungaji wa kanisa la Mlima wa Moto, Dkt. Gertrude Rwakatale akiwaombea waumini…
DC Nachingwea na Mkurugenzi wake waingia kwenye 18 za Rais Magufuli ‘Nieleze hizo fedha umepeleka wapi?’ (+vidoe)
Habari

DC Nachingwea na Mkurugenzi wake waingia kwenye 18 za Rais Magufuli ‘Nieleze hizo fedha umepeleka wapi?’ (+vidoe)

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Rukia Muwango na Mkurugenzi wake wamemkwaza Rais Magufuli kwa kuchelewesha kukamilisha miradi ya maendeleo wilayani…
Tahadhari ya mvua kubwa yatolewa kwa wakazi wa Dar, Tanga na Pwani
Habari

Tahadhari ya mvua kubwa yatolewa kwa wakazi wa Dar, Tanga na Pwani

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa katika mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Tanga…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents