Burudani

Baada ya Jay Z sasa ni Wizkid

Tumeona rapper Jay Z akifanya kolabo na msanii kutoka Jamica Damian Marley, kupitia albamu yake ya 4:44 iliyotoka Juni, 30 mwaka huu. Sasa ni zamu ya Starboy – Wizkid kutoa ngoma na mkali huyo.

Kupitika mtandao wa Twitter, msanii huyo ambaye ametoa mixtape yake wiki iliyopita ikiwa na nyimbo 12 pamoja na bonus track moja,ameweka picha na akiwa na Damian Marley ambaye ni mtoto wa marehemu Bob Marley.

“Talked about working with this man. Today we dey here! Legend! To the world my friend??,” ameandika msanii huyo.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents