Aisee DSTV!
SwahiliFix

Baada ya kimya kirefu Galaxy aachia video mpya ‘Ona’, itazame hapa

Baada ya ukimya wa zaidi ya mwaka mmoja, msanii wa Bongo Fleva, Galaxy ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Ona’. Ngoma imetayarishwa na Ell da Bway, video imeongozwa na Joowzey. Itazame hapa chini.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW