Michezo

Bondia, George Groves apewa siku 10 kuthibitisha kuingia ulingoni

Bondia, George Groves amepewa siku 10 kabla kuthibitisha kuwa yupo fiti na tayari kuingia ulingoni kupambana na Callum Smith mchezo wa fainali wa michuano ya ngumi ya Duniain (World Boxing Super Series).

Groves ambaye ni bondia namba moja kwa uzito wa kati anaetarajia kupambana na Smith mkazi wa jiji la Liverpool nchini Uingereza amepata majeraha kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali wakati alipomkabili, Chris Eubank Jr na kutinga hatua hiyo ya fainali.

Nafasi ya Groves imeingia mashakani baada ya mkuu wa mchezo wa ngumi (Comosa), Sauerland kuthibitisha kuwa bondia, Eubank Jr ataziba nafasi yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents