Burudani

Davido awashirikisha Trey Songz, Akon, Meek Mill kwenye album yake mpya (Orodha ya nyimbo)

Staa wa Nigeria, David Adeleke a.k.a Davido amekaribia kuachia album yake mpya ‘OBO’ aliyokuwa akiiandaa toka mwaka huu uanze.

OBO

Katika album hiyo ya nyimbo ishirini ambayo inatarajiwa kutoka June, 2015, kuna collabo za wasanii wakubwa wa Marekani.

Miongoni mwa wasanii ambao wameshirikishwa ni Mkali wa R&B Trey Songz, Akon, rapper Meek Mill na Wale.

Hii ndio orodha ya nyimbo za album hiyo

1. Owo Ni Koko (Prod. by J Fem)
2. Chillin’ ft. Akon & Runtown (Prod. by Shizzi)
3. Biggest Backside ft. B-Red (Prod. by Young John)
4. Laleyi (Tonite) [Prod. by Shizzi] 5. Fans Mi ft. Meek Mill (Prod. by Shizzi)
6. Kekwanu ft. Timaya (Prod. by Shizzi)
8. Shayo Galore (ft./Prod. by Don Jazzy)
9. Secret Agenda ft P-Square (Prod. by Puffy Tee)
10. Won Le Ba ft. Wale (Prod. by Shizzi)
11. Wetin U Say ft. Trey Songz (Prod. by P2J)
12. Get To You (Prod. by P2J)
13. All Fingers (Prod. by Shizzi)
14. New York City (Prod. by Shizzi)
15. DODO (Prod. by Kid Dominant I)
16. The Sound ft. Uhuru & DJ Buckz (Prod. by Shizzi & Uhuru)
17. Share My Blessings (Prod. by Shizzi)
18. Embargo (Prod. by Spellz)
19. Package (Prod. by Del’ B)
20. Galilee (Prod. by Shizzi)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents