Siasa

DC Hai “Tulisema Corona haitakuwa na jina kubwa katika nchi kuliko jina la Mungu – Video

Mkuu wa wilaya ya Hai @lengai_ole_sabaya amekutana na viongozi mbalimbali wa dini pamoja na madaktari kuzungumzia hali ya Ugonjwa wa Corona.

Akizungumza nao DC @lengai_ole_sabaya amesema kuwa “Tulifika mahali corona inatajwa kuliko jina la MUNGU, Ni kweli ipo lakini sio kubwa kuliko MUNGU.Ndio maana nchi iliongozwa kujisalimisha kwake”

https://www.instagram.com/p/CAuXUhIhqCP/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents