Designer na mrembo Shellina Ebrahim ashare story kuhusu imani ya baadhi ya wazungu kuwa WaTZ wanawachukia
Ni wazi kuwa Watanzania wengi hawalijui jina la Shellina Ebrahim lakini aliwahi kuwa model na sasa ni designer wa kimataifa wa nchini Tanzania. Anafanya kazi kwenye jarida la masuala ya fashion la Fas kama Design & Marketing Consultant. Ana asili ya Canada na Tanzania (Musoma).
Kupitia Facebook, Shellina ameshare story ya jinsi baadhi ya wazungu wanaokuja nchini Tanzania na wanaoonesha chembechembe za ubaguzi wa rangi kwa wenyeji.
“If your are having race problems I feel bad for you son. Got 99 problems but colour ain’t one,” ameandika Shellina.
“I recently had the pleasure of dining with some people from Greece, Argentina, Italy, etc. Here is the thing that caught my attention. The moment I sat down and introduced myself, the girl from Argentina asked me right away. “So we hear you are a local”. I said I am. She went on to ask “so I hear you locals don’t like foreigners?” At this point I burst out laughing and told her I can’t speak for all locals but if I didn’t like foreigners then I would not like half of myself since my father was also a foreigner.
Point of the story.
I understand that it’s hard for some people who come to live or work in beautiful Tanzania to adjust and accept that the majority of the population is beautifully black. And I don’t blame them for their ignorance. However, don’t make assumptions about people before getting to know them and don’t impose an image about a people to those people before finding out if you have the correct image or not.
Siku nyingine nilikutana na mtu racism I won’t be nice nitampa kofi aisee.”
Mfahamu zaidi Shellina kwa kutazama picha zake hizi.