Diamond Platnumz

Diamond na mr. Nice kupikika chungu kimoja


Baada ya mwanamuziki Diamond kumaliza party yake iliyojaa drama za aina yake, sasa anatarajia kufanya Collabo na
msanii mwenzake Mr Nice’.

Mr Nice amesema anatarajia kukamilisha wimbo mpya, ambao utakuja kuufunika wimbo wake wa sasa ‘Aibu gani’ atakao mshirikisha Nasib Abdull aka ‘Diamond’.

Mr Nice amesema tayari ameshaingiza mashairi yake kwenye studio ya Fish Crab, bado tu Diamond kuweka mistari yake, ambapo alichelewa kutoka na kuwa bize na Show yake ya Diamonds are Forever.

Nyimbo hiyo inatarajiwa kuwa katika staili ya Afro pop na bongo fleva, ikiwa imetengenezwa na producer Lamar.

Tumekaa mkao wa kula wadau. Mtaipata here exclusive

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents