Burudani ya Michezo Live

Exclusive Interview: Mfahamu Songa – Rapper wa Tamaduni Muzik (Audio)

Songalaeli Joseph Mwagala aka Songa ni rapper kutoka Singida ambaye yupo chini ya label ya Tamaduni Muzik. Anaunda pia kundi liitwalo Miraba Minne akiwa na wenzake P The MC, Nash MC na Zaiid. Songa ni miongoni mwa rappers wapya Tanzania wenye uwezo mkubwa kiuandishi na michano. Hivi karibuni tulipiga naye story ili kutaka kumfahamu zaidi. Msikilize zaidi kwenye interview hii.

Songa 3
Kutoka kushoto: Nikki Mbishi, Zaiid, P The MC, Songa, One na Ghetto Ambassador.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW