Burudani

French Montana kukinukisha Ijumaa

Rapper wa Marekani, French Montana anatarajia kuachia ngoma mpya ‘No Lie’ siku ya ijumaa July 14 ambapo na albamu yake itatoka.

Katika ngoma hiyo inayoshika namba nne kuwepo kwenye albamu ya Jungle Rule ambapo The Weekend na Max B watasikia na kuonekana katika video.

Albamu ya Jungle Rules yenye nyimbo 14, ndio ya kwanza katika maisha ya kimuziki ya msanii huyo mwenye asili ya Afrika ambapo anatokea katika nchi ya Morocco.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents