Burudani

Hakuna mtoto wa staa mwenye mvuto zaidi ya Tanzanite – H.Baba

H.Baba amejigamba kwa kusema kuwa hakuna staa wa Tanzania mwenye mtoto mwenye mvuto kumzidi mwanae Tanzanite!!!!???

11910480_478248349020724_414603612_n

H.Baba ameiambia Bongo5 kuwa tayari mtoto wake huyo amepata tangazo la kimataifa nchini Kenya.

“Mwezi ujao mama yake ana safari naye kwenda Kenya kufanya tangazo,” amesema muimbaji huyo. “Sema tunashindwa kuweka wazi mambo yetu kwa sasabu kuwa watu wanapiga simu na kuharibu deals. Pia Tanzania kuna makampuni mengi sana yamejitokeza na wanajua hakuna mtoto wa staa mwenye mvuto zaidi ya Tanzanite! Lakini tunavutana nao kwa sababu wanaona watamnufaisha Flora au H.Baba, lakini sio kweli, huyu mtoto anavutia Tanzania na ndio mtoto mwenye mashabiki wengi na anavutia hata kwa kumtazama,” amesisitiza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents