Videos
Happy birthday Mwana FA aka Binamu!!
Leo tunasherekea siku ya kuzaliwa kwa rapper na mkali wa mistari Hamis Mwinjuma aka MwanaFalsafa aka Binamu, happiest of borndays cousin!!
Mcheki FA akihojiwa na Salama Jabir katika kipindi cha Mkasi TV hapa chini:
[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=0fnNh0xnxtA[/youtube]