Videos

Harmonize aifanyia Remix ngoma yake ya Bedroom, Ashirikisha Rapper 9 Darasa Nay wa Mitego ndani – Video

Harmonize aifanyia Remix ngoma yake ya Bedroom, Ashirikisha Rapper 9 Darasa Nay wa Mitego ndani - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize ameamua kuifanyia remix ngoma yake ya Bedroom ambayo ipo kwenye album ya AFROEAST.

Katika remix hiyo Harmonize ameamua kushirikisha wasanii 9 ambao wote  ni (marapper ) Wana hip hop, wasanii hao ni Darasa, Nay Wa Mitego, Country boy, Younglunya, Rose Ree, Moni Centrozone, Baghdad, Salmin Swaggz, Bilnass, huku yeye Harmonize akimaliza.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents