Mitindo

Hawa ndio Love and Fashion Bongo

Tukitazma ulimwengu wa sasa mitindo na mahusiano vina nafasi kubwa sana katika maisha yetu. Na leo nataka tuangalie couple chache Tanzania ambazo, zinapendeza sana katika mavazi yao.

Najua zipo couple nyingi ila hizi ni chache kati yao zinazofanya vizuri kwa sasa kutokana na aina ya nguo, muonekano na maisha yao wanavyoishi.

Petiti Money na Esma Platnum

Jackilne Wolper na Brown

Kuna Jackilne Wolper na kijana Brown anayedaiwa ndiye mpenzi, Petiti Money na Esma Platnum wamekuwa wakipendeza kwa mavazi yao na muonekanao wao wakuvutia pia muigizaji Aunty Ezakiel na mcheza dansi wa Diamond Platnum, Mose Iyobo.

Aunty Ezakiel na Mose Iyobo.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents