Tupo Nawe

Hemed PHD: Sivai tena hereni kwenye movie zangu

Msanii wa muziki na filamu Tanzania Hemed PHD ameamua kuachana na swala la kuvaa hereni katika filamu zake baada ya wadau na mashabiki wake kumwambia halina uhalisia.

hemdy

Kutokana na kusikikia malalamiko mengi kutoka kwa mashabiki, Hemedy ameamua kuwa mpole na kufuata kile watakacho.

“Kumekuwa na fight kubwa sana kati ya mimi na director wangu pale ninapokuwa na scene za ofisini nakuwa mbishi sana swala kuvaa hereni sasa nimepata ushauri kutoka kwa mashabiki wangu nimeona nikamshauri director wangu kuepuka kero ambazo hawazipendi mashabiki wangu. Nitakuwa mjinga nisipo wasikiliza mashabiki wangu,” PHD aliiambia Enewz ya EATV.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW