Tia Kitu. Pata Vituuz!

Hii ndio orodha ya mastaa wanaoingiza pesa nyingi duniani kupitia mtandao wa Instagram, Davido awa kinara kwa Afrika

Hii ndio orodha ya mastaa wanaoingiza pesa nyingi duniani kupitia mtandao wa Instagram, Davido awa kinara kwa Afrika

arida la Instagram Rich List 2019, limetoa orodha ya watu 100 ambao wanaingiza pesa nyingi kupitia matangazo ya biashara wanayopost kwenye kurasa zao za mtandao wa kijamii wa Instagram.

Kutokea barani Africa, Davido ndiye amekuwa msanii wa kwanza anayeingiza pesa nyingi kupitia matangazo anayopost Instagramm ambapo amekamata nafasi ya 38.

Davido analipwa Dola 74,000 sawa na Milioni 170 za Tanzania kwa kila tangazo moja. Pia katika orodha hiyo wapo wasanii kama Wizkid kwenye nafasi ya 46, na Tiwa Savage kwenye nafasi ya 48.

Davido ndiye msanii mwenye wafuasi wengi zaidi katika mitandao ya kijamii ya Instagram na Twitter kutokea barani Africa.  Kwasasa Instagram  ana wafuasi Milioni 11 huku Twitter akiwa na Milioni 5.

Kwa ujumla orodha hiyo inaongozwa na Kylie Jenner, Ariana Grande na Cristiano Ronaldo katika nafasi ya tatu.  Watu wengine maarufu waliopo katika list hiyo ni Kim Kardashian, Beyonce, Lionel Messi, Neymar Jr, Justin Bieber, Nick Minaj, David Beckham na Ronaldinho.

1. Kylie Jenner

Estimated cost per sponsored post in 2018: $1,000,000 (up from $400,000 in 2017)
Number of Instagram followers: 112 million

2. Selena Gomez

Estimated cost per sponsored post in 2018: $800,000 (up from $550,000 in 2017)
Number of Instagram followers: 139 million

3. Cristiano Ronaldo

Estimated cost per sponsored post in 2018: $750,000 (up from $400,000 in 2017)
Number of Instagram followers: 137 million

4. Kim Kardashian West

Estimated cost per sponsored post in 2018: $720,000 (up from $500,000 in 2017)
Number of Instagram followers: 114 million

5. Beyoncé Knowles

Estimated cost per sponsored post in 2018: $700,000 (up from $400,000 in 2017)
Number of Instagram followers: 116 million

6. Dwayne “The Rock” Johnson

Estimated cost per sponsored post in 2018: $650,000 (2017: n/a)
Number of Instagram followers: 111 million

7. Justin Bieber

Estimated cost per sponsored post in 2018: $650,000 (2017: n/a)
Number of Instagram followers: 101 million

8. Neymar da Silva Santos

Estimated cost per sponsored post in 2018: $600,000 (2017: n/a)
Number of Instagram followers: 100 million

9. Lionel Messi

Estimated cost per sponsored post in 2018: $500,000 (2017: n/a)
Number of Instagram followers: 100 million

10. Kendall Jenner

Estimated cost per sponsored post in 2018: $500,000 (up from $370,000 in 2017)
Number of Instagram followers: 100 million

By Ally Juma

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW