HabariLifestyle

Chino Kidd, Frida Aman wafunguka unavyoweza kupata zawadi kupitia Infinix (+Video)

Msanii wa Muziki Chino Kidd amesema kuwa hutumia simu ya Infinix katika maisha yake ya kila siku ikiwa ni pamoja na kupiga picha na video za mitandao yake ya kijamii.

Chino ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Promotion ya X-Month #JipateNaInfinix ambayo inamuwezesha mteja wa simu ya Infinix kupata zawadi mbalimbali kila anaponunua simu hizo.

Wakati balozi wa Infinix, Frida Amani ameongeza kwa mteja anayenunua simu za Infinix madukani ataweza kupata zawadi papo kwa papo zikiwemo Scooter, Laptop, Microwave, fridge na nyingine nyingi.

Staa huyo wa kike kutoka kiwanda cha Bongo Fleva ameongeza msimu huu wa promotion Infinix inakopesha simu zake bila ya riba.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents