Michezo

Hivi ndivyo mshindi wa Bajaji alivyopigiwa simu ‘live’ mbele ya waandishi wa habari(+Video)

Kampuni ya kubashiri matokeo ya michezo SportPesa hii leo siku ya Ijumaa imempata mshindi wa kwanza wa Bajij, Ntale Lusalula Rajabu ambaye ni mkazi wa Mwera Pangani mkoani Tanga katika kampeni yao ya SHINDA ZAIDI NA SPORTPESA itakayo dumu kwa siku 100. Mshindi huyo amepatikana baada ya kupigiwa simu live mbele ya vyombo vya habari zoezi lililo fanyika katika ofisi zao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents