Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Hizi ndio timu zitakazokutana katika robo fainali ya Carabao Cup, Uingereza

Majina ya timu ambazo zitakutana katika hatua ya nane bora ya kombe la Carabao Cup yametoka.

Katika hatua hiyo mechi ambazo zinaonekana kuvuta hisia za mashabiki wengi ni pale Leicester watakapokutana na Manchester City, na Arsenal watakapokutana na West Ham United.

Mechi nyingine ambazo zinatarajiwa kuchezwa katika hatua hiyo ni Bristol dhidi ya Manchester United, na Chelsea watakutana na Bournemouth.

Mechi hizo zinatarajiwa kuanza kuchezwa Disemba 18.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW