Burudani ya Michezo Live

Interview ya KBC Da Kwanzanian kuhusu Hip Hop ya Tanzania na SOAS Radio ya Uingereza

SOAS Radio ni radio ya mtandaoni iliyopo kwenye kitengo cha masomo ya Afrika (School of Oriental and African Studies) kwenye chuo kikuu cha London.

Kwanza Unit
Kwanza Unit

Hurusha vipindi vinavyotayarishwa na wanafunzi wa chuo hicho.

Wana kipindi cha Kiswahili kiitwacho Sema Sasa ambacho huendeshwa na DeeKay na Bwana Rob ambao ni wanafunzi wa SOAS. Sema Sasa ni kipindi cha kwanza cha Kiswahili katika radio hiyo ambacho kimelenga kupiga nyimbo za Hip Hop ya Kiswahili na mahojiano na wasanii.

Hivi karibuni walifanya mahojiano na member wa kundi la zamani la Kwanza Unit, KBC ambaye alitoa historia ya kundi hilo la muziki wa Hip Hop Tanzania ulivyo sasa.

Isikilize hapa.

http://soasradio.org/sema-sasa

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW