Tupo Nawe

Jezi za Nigeria zagombaniwa kwenye duka la Nike Uingereza

Jezi mpya za nyumbani za timu ya taifa ya Nigeria ambazo zitatumika kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2018, zimemalizika ndani ya dakika chache tangu kuingizwa sokoni Ijumaa hii.

Foleni kubwa ya mashabiki imeonekana mapema asubuhi katika duka la Nike lililopo mjini London, mtaa wa Oxford, wakisubiria jezi hizo.

Kwa mujibu a shirikisho la soka la Nigeria, limesema kuwa walipokea pre order ya jezi zaidi ya milioni tatu.

Jezi ya juu (shirt) ya Nigeria inauzwa na kampuni ya Nike kwa paundi 65.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW