Burudani

Kanye West atakuwepo katika chumba cha kujifungulia wakati mpenzi wake Kim Kardashian anajifungua!

Huwa ni jambo zuri na linaloonyesha mapenzi ya dhati kwa mzazi wa kiume kuwa sambamba na mwenzi wake katika chumba cha kujifungulia ‘delivery room’, ikiwa ni ishara ya kujali na kumsupport kwa kazi ngumu aliyoifanya mama katika miezi 9 ya ujauzito na uchungu wa kujifungua.

kimye2

Ladies and gentlemen rapper Kanye West anatarajiwa kuwa na mama wa mtoto wake mtarajiwa Kim Kardashian katika chumba cha kujifungulia, kushuhudia jinsi mwanao mpendwa akiwa anaanza kuvuta hewa ya dunia kwa mara ya kwanza.

Chanzo cha kuaminika kimeuthibitishia mtandao wa Hollywood life kuwa Kanye sio tu atakuwa na Kim chumba cha kujifungulia bali anashauku kubwa kuwepo wakati Kim anajifungua.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents