Bongo Movie

Kauli ya Wema kupitia Steve Nyerere baada ya kurudi CCM (Video)

Msanii wa filamu, Steve Nyerere ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema Sepetu ambaye hivi karibuni ametangaza kurudi CCM akitokea Chadema, amesema alipata fursa ya kuongea na malkia huyo wa filamu na kupata kauli yake mpya baada ya kurejea CCM.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents