Tupo Nawe

‘Kesho’ ya Diamond ina zaidi ya views 12,000 YouTube ndani ya siku moja

Kwa namna yoyote ile Diamond Platnumz ana mashabiki wengi mno. Ndani ya siku moja tu tangu video yake ya Kesho ivuje, tayari imeangaliwa kwa zaidi ya mara 12,000 katika mtandao wa Youtube. Si jambo rahisi kwakuwa kuna video kali tu za Bongo ambazo zina zaidi ya miezi lakini hazijafikia idadi ya views hizo ama zingine huchukua zaidi ya miezi mitatu kufikia hapo. It’s not easy at all. Inaonesha mwaka 2013 utakuwa na matunda mengi kwa mkali huyu.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW