Promotion

Kumbe ni kweli!

Ile Range Rover Sport ya Zain imefika jijini Arusha kwa ajili ya kukabidhiwa kwa mshindi wake Bw. John Kassian.

 

Pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha (kati) Eng. Raymond Moshi akimkabidhi Bw. John Kassian funguo ya gari aliyojishindia katika promosheni ya Zain Jishindie gari iliyofanyika hivi karibuni. Makabidhiano hayo yalifanyika wiki iliyopita katika viwanja vya Triple A, mjini Arusha. Pembeni ni mke wa Bw. John Kassian akishuhudia makabidhiano hayo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents