Habari

Kura zihesabiwe hadharani, anayepata ziro apate hapo hapo – Rais Magufuli (+Video)

Kura za maoni zitaanza leo na kesho, ni matumaini yangu viongozi watakao simamia hizo kura za maoni, watasimamia kwa uwazi bila mizengwe yoyote ili kila mwenye haki aweze kupata haki yake.

Mimi ningetamani sana viongozi wa chama changu ambao watasimamia uchaguzi huu wa leo na kesho kura zikishamaliza kupigwa zikafanyike kama tulivyofanya kwenye Halmashauri kuu zihesabiwe hadharani, anayepata ziro aipate hapo hapo na anayepata zote iwe pale pale, huu uwazi utaendelea kujenga umoja wa CCM.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents