Kylian Mbappe aipeleka Ufaransa robo fainali kombe la dunia (+Picha)

Mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kwenye timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe amekiwezesha kikosi hicho kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la dunia baada ya kuifungia mabao mawili ya mwisho dhidi ya Argentina.

Mabao ya Ufaransa yakifungwa na Griezmann dakika ya 13 kwanjia ya mkwaju wa penati, B Pavard akifunga (57),Kylian Mbappe akitupia (64, 68) wakati Argentina wakipata mabao yao kupitia kwa Di María (41), Mercado (48), na Aguero dakika za nyongeza (90+3).

Picha zinazoonyesha matukio ya uwanjani.

Kylian Mbappe scored a sensational second-half brace to send France through to the quarter-finals of the World Cup

Mbappe's first goal was a moment of magic as he managed to turn inside the box and fire a low shot into the back of the net

The Monaco youngster then finished off a beautifully constructed attack to seal France's progression to the last eight

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW