Habari
Lady Jay Dee alivyomuaga Gardner kwa mara ya mwisho Rombo
Tazama msanii wa muziki wa Bongofleva Lady Jay Dee alivyomuaga Gadner G Habash kwa mara ya mwisho Rombo Mkoani Kilimanjaro hakika ni huzuni kubwa
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5
Written and edited by @abbrah255