Michezo

Mafunzo ya ‘grassroots’ yaanza rasmi (Picha)

Kozi ya makocha wa mpango wa grassroots kwa wasichana na wavulana wenye umri kuanzia miaka 6-12 inaendelea kwenye uwanja wa Ilulu Lindi.

Kozi hu imefunguliwa rasmi jana Novemba 16, 2017

Wanafunzi wa shule ya Msingi Stadium wakicheza mpira baada ya kupata maelekezo kutoka kwa makocha wa mpango wa grassroots.

Kozi inayoendelea kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi.

Picha zikionyesha wachezaji wadogo wakipatiwa mafunzo ya soka

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents