Afya
Makala: Fahamu mazao yanayo ongeza nguvu za kike na kiume (Video)
Jambo Spice Farm lilolopo kisiwani Zanzibar, linafahamika kwa ulimaji wa mazao kama iriki, karafuu, mdalsini, vanilla na zao linalosidia kuongeza nguvu za kiume. Shamba hilo lipo katika Mkoa wa Mjini Magharibi , Wilaya ya Maghraibi A, Kata ya Dole.
Na Laila Sued na Salum Kaorata