Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Makamu wa Rais alilia ulinzi wa watoto (+Video)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameitaka jamii kuwalinda watoto na kutofumbia macho atakayebainika anadhalilisha watoto wadogo. Tazama video hii Makamu wa Rais akieleza;

Makamu wa Rais aliyasema hayo wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Vijana Zanzibar uliofanyika kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi wa Zamani Kikwajuni.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW